Barua pepe: kikosimaalum64@kmkmzanzibar.go.tz  |  S.L.P: 565

Logo
Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo Zanzibar
Logo

Mnamo Tarehe 20 Agosti, 2013 Aliyekuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt Ali Mohamed Shein alifanya mabadiliko ya baadhi ya Wizara ambayo yamepelekea kubadilika kwa miundo ya baadhi ya Wizara hizo pamoja na watendaji wakuu.
Katika mabadiliko hayo Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maaluum za SMZ imeundwa rasmi. Maeneo makuu ya Wizara hiyo ni:

  1. Mamlaka ya serikali za Mikoa na Mitaa
  2. Vitambulisho vya ukaazi (Sasa inajulikana kama Ofisi ya Usajili wa Matukio ya kijamii)
  3. Idara Maalum za SMZ

Pia Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 ibara ya 121 imetoa mamlaka kwa muheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kuunda Idara Maaluum ikiwemo Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM) Zanzibar.

Aidha kwa mujibu wa ibara ya 123(1) Kamanda Mkuu wa Idara Maalum za SMZ ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ ndie Msimamizi wa wizara inayosimamia idara maalum za SMZ.


Card image
Commodore: Azanna Hassan Msingiri
Card image
Captain: Khamis Simba Khamis
Card image
...

© 2019 - 2024 Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo Zanzibar - KMKM. Haki zote zimehifadhiwa