RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Ali Mohamed Shein, akikagua Gwaride rasmi la Sherehe za Mapinduzi kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba
ASKARI wa Kikosi cha KMKM wakitowa heshima wakiwa katika mwendo wa kasi wakati wa maadhimisho ya Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar, katika Uwanja wa Gombani Pemba
no caption